Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 08:19

Upinzani wa Comoros hawaamini kulikuwepo na jaribio dhidi ya Azali


Upinzani wa Comoros hawaamini kulikuwepo na jaribio dhidi ya Azali
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:48 0:00
Upinzani wa Comoros unasema hawaamini kulikuwepo na jaribio la kutaka kumua Rais Azali Assoumani alipokuwa katika kampeni za uchaguzi kisiwani Nzwani siku ya Alhamisi tarehe 7 Marchi 2019.
XS
SM
MD
LG