Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:26

Uwanja wa ndege wa Sudan wafungwa


Uwanja mkuu wa ndege mjini Khartoum nchini Sudan umefungwa kufuatia ajali ya ndege mbili za kijeshi.

Uwanja mkuu wa ndege mjini Khartoum nchini Sudan umefungwa kufuatia ajali ya ndege mbili za kijeshi.

Msemaji wa idhara ya safari za anga Abdel-Hafez Rahim, amesema kwamba ndege za safari za kimataifa zinaelekezwa kutua katika uwanja wa Port Sudan.

Idhara ya safari za ndege ya Sudan inasema kwamba hatua ya kufunga uwanja huo kwa mda ni sehemu ya kufuata kanuni za kimataifa kuhusu safari za anga na kwamba uwanja utafunguliwa baada ya ukaguzi.

XS
SM
MD
LG