Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 04:46

Vijimambo: Maiti aachwa kwenye duka, nyani wavamia kijiji Kenya


Vijimambo: Maiti aachwa kwenye duka, nyani wavamia kijiji Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:57 0:00

Waombolezaji waliokuwa kwenye msafara wa mazishi wamezua vurugu baada ya kuingia kwenye duka moja la Supermarket mjini Voi, Kaunti ya Taita Taveta, nchini Kenya, na ghafla bin vuu wakaliacha jeneza lililokuwa na mwili wa kijana mmoja kwenye duka hilo. Kwingineko, nyani wamezua vurugu na kuwaacha wanakijiji bila uusingizi wala chakula. Kwa mengi zaidi, bonyeza hapa na kusikiliza kipindi cha Vijimambo naye BMJ Muriithi:

XS
SM
MD
LG