No media source currently available
Wananachi wanasema wamechoshwa na ajali za barabarani kutokana na uzembe wa madereva na ukosefu wa udhibiti kutoka mamlaka husika.