Israel na kundi la Hezbollah wafikia makubaliano ya kusitisha mapigano
Sitisho la mapigano kati ya Isreal na kundi la wanamgambo la Hezbollah lenye makao yake nchini Lebanon lilianza kutekelezwa mapema Jumatano na hivyo kusimamisha mapigano ambayo viongozi wa Marekani na Ufaransa walisema yanaweza kufunga njia ya kuelekea kwenye sitisho jingine huko Ukanda wa Gaza.
-
Desemba 03, 2024
Duniani Leo
-
Desemba 02, 2024
Raia wa Namibia warejea kupiga kura katika vituo 36
-
Novemba 28, 2024
Maporomoko ya ardhi yaua watu zaidi ya 30