ZULIA JEKUNDU: Mpiga gitaa Jimi Hendrix akumbukwa
Your browser doesn’t support HTML5
Wapiga picha wanaoinukia wa Kenya na wale watumiaji wa TikTok wanavyotumia mitaa ya eneo la Biashara la kati kati ya jiji la Nairobi-CBD kujipata fedha na pia mpiga gitaa na mtunzi wa nyimbo mashuhuri wa Marekani Jimi Hendrix akumbukwa.