Zulia Jekundu Ep. 348: Jay Z na Beyonce wafanya kampeni ya Tiffany & Co.

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Red Carpet: Couple ya nguvu yaendelea kuwa gumzo hapa Marekani, Kanye West yuko kwenye mchakato wa kubadili jina lake, Na nini kinafuata kwa Eliud Kipchoge baada ya Tokyo 2020?