Zulia Jekundu : Ep 346: Sherehe za siku ya Uhuru ya Ivory Coast mjini Washington D.C.

Your browser doesn’t support HTML5

Watu wenye asili ya Ivory Coast wanaoishi hapa Marekani hivi karibuni wamefanya sherehe za siku ya uhuru wa taifa lao kwenye kitongoji kimoja cha hapa Washington DC.