Mafuriko yasabisha maafa zaidi Afrika Mashariki
Your browser doesn’t support HTML5
Maafa yanayotokana na mafuriko yanazidi kushuhudiwa Afrika Mashariki huku idadi ya watu waliofariki ikiongezeka. Zaidi ya watu 200 wamefariki Ken ya na Tanzania, huku maelfu ya watu wakikoseshwa makazi.