WHO yasema idadi ya hospitali zinazotoa huduma Ukanda wa Gaza zimepungua kufikia 18

  • VOA News

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema Idadi ya hospitali zinazofanya kazi katika ukanda wa Gaza imepungua kutoka 36 hadi 18 tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa hamas Octoba 7.⁣

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari