WHO latangaza dharura ya afya ya umma baada ya virusi vya M-Pox kuripotiwa nje ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza dharura ya afya ya umma baada ya virusi vya M-Pox kuripotiwa nje ya Afrika na kusema hakuna haja ya nchi kufunga mipaka.

Serikali ya Kenya mbioni kutafuta mbinu mbadala kufadhili bajeti baada ya mswaada wa fedha kukataliwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari