Waziri mwanamke Somalią awania kugombea urais

Your browser doesn’t support HTML5

Mbunge ambaye amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kwanza mwanamke Somalia hivi sasa anawania kugombea nafasi ya urais hali akifahamu changamoto za kugombea nafasi hiyo katika taifa la Kiislam.