Sauti Majaliwa asema ameongea kwa simu na Rais 12 Machi, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akanusha uvumi kuwa Rais Magufuli ni mgonjwa na kuthibitisha ameongea naye kwa simu.