Watu 19,000 wakoseshwa makazi Malawi kutokana na Kimbunga Freddy

Your browser doesn’t support HTML5

Kiasi cha watu elfu kumi na tisa katika taifa hilo la kusini la malawi wamekoseshwa makazi kutokana na janga la Kimbunga Freddy.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo nchini Malawi na changamoto gani ambazo serikali ya nchi hiyo inakumbana nazo katika kuwapatia hifadhi ya muda wananchi na kukabiliana na maradhi ya milipuko. Endelea kusikiliza...