Watu 110 wafariki na wengine kukimbia makazi yao kufuatia ghasia Msumbiji

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 110 wamekufa na wengine kukimbia makazi yao kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi nchini Msumbiji

Marais wa DRC na Rwanda wanatarajiwa kukutana kwa mazungumzo mapya Angola kutafuta amani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari