Wataalam: Sababu zilizopelekea viwango vya joto kuvunja rikodi duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Katika mabara mbalimbali duniani, kuanzia uhispania, Lebanon hadi Marekani viwango vya joto vimevunja rikodi ya majira ya joto. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya wataalam kuhusu mabadiliko hayo.