Wasifu wa Rais wa Marekani Donald Trump kuelekea uchaguzi mkuu wiki ijayo

Your browser doesn’t support HTML5

Wasifu wa rais wa 45 wa Marekani, mrepublican Donald J. Trump ambaye anawania kuchaguliwa tena katika uchaguzi wa rais Novemba 3 akiwa na anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa hasimu wake wa kisiasa, makamu rais wa zamani, Mdemocrat Joe Biden.