Washington kuwasilisha mpango wa kukarabati Ukraine katika G20

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati wa mkutano huo Rais Biden ataomba kuondolewa kwa Russia katika kundi hilo la mataifa tajiri.

- Washington kuwasilisha mpango wa suala la kuikarabati Ukraine wakati wa mkutano wa viongozi wa mataifa tajiri zaidi duniani G20

- Wakristo waadhimisha ibada ya Ijumaa Kuu kote duniani, wakati Waislam wakiendelea na mfungo wa mwezi wa Ramadhani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari