Wanawake washeherekea mafanikio yao kijamii, kiuchumi na kisiasa

Your browser doesn’t support HTML5

March 8 kila mwaka ni siku ya kimataifa ya wanawake duniani, ambapo wanawake kote ulimwenguni wanasherehekea siku hii adhimu, ikiwa ni fursa kubwa ya kutambua nafasi na mchango wa mwanamke katika kuchangia maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa kote duniani.