Wanawake DRC wameiomba serikali na waasi wa M23 kusitisha vita

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wa DRC wameiomba serikali na waasi wa M23 kusitisha mapigano haraka.

Maelfu ya watu wameuwawa Sudan kutokana na vita.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari