- Mamlaka ya DRC yaeleza kuwa wananchi wamekaidi kanuni za ujenzi na hivyo hawakutakiwa kujenga karibu na ziwa.
Wananchi waeleza adha ya maji ya Ziwa Tanganyika yaliovamia maeneo yao
Your browser doesn’t support HTML5
Wananchi waeleza kero la maeneo yao kufurika Maji ya Ziwa Tanganyika, huko eneo la Baraka, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, yanayo ongezeka kwa kasi na hivyo wamelazimika kukimbia maeneo yao na wanadai hawana msaada wowote.