Wamarekani washerehekea na kulalamika dhidi ya matokeo ya uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wamarekani wamekua wakiandamana kufurahia ushindi unaotarajiwa wa Joe Biden huku wafuasi wa rais Donald Trump wakilalamika kwamba kumekuwepo na wiki wa kura.
Joe Biden ameahidi kuliunganisha tena taifa la Marekani baada ya uchaguzi ulosababisha mgawanyiko mkubwa nchini.