Wakenya zaidi ya 17,000 waathiriwa na visa vya usafirishaji haramu wa binadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia ikiwa inaadhimisha Siku ya Kupinga Usafirishaji Haramu Binadamu Wakenya zaidi ya 17,000 waathiriwa na visa hivyo

Tanzania na China waanza mazoezi ya mafunzo ya kijeshi ya pamoja katika Jiji la Dar es Salaam, nchini Tanzania

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari