Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Wahamiaji Uingereza waendelea kuwa na wasiwasi baada ya Bunge la Uingereza kupitisha sheria ya kuwapeleka Rwanda
Your browser doesn’t support HTML5
Duru ya nne ya kujadili mkataba wa kukabiliana na matumizi ya plastiki wafanyika katika mkutano wa kimataifa wa mazingira huko Canada.