Wahamiaji Ufaransa wakosoa tabia za wagombea nafasi ya urais
Your browser doesn’t support HTML5
Rai za wahamiaji nchini Ufaransa kuhusu jukumu la mashirika ya kiraia katika uchaguzi utakaofanyika siku chache zijazo, na pia wanakosoa tabia ya wagombea urais ambao huwanyanyapaa wahamiaji.