Wafanyakazi kadhaa wa UNRWA wafukuzwa kazi kwa tuhuma za shambulizi la Oktoba 7

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Umoja wa Mataifa linalo simamia masuala ya huduma limewafukuza kazi wafanyakazi kadhaa kwa kuhusika na shambulizi la Oktoba 7 lililofanywa na Hamas dhidi ya Israeli.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari