Wafanya biashara wa soko kuu la kariakoo Tanzania waendelea na mgomo
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati mgomo wa kufunga biashara katika soko la kimataifa la Kariakoo kushika kasi kwa siku ya tatu sasa, baadhi ya wafanyabiashara hao wamemueleza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa viongozi wengi wenye nafasi Serikalini hawapo kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania kujikwamua kiuchumi.