VOA MITAANI: Maoni ya watanzania kuhusu Siku ya Wajane Duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Siku ya Wajane Duniani inaadhimishwa kila mwaka katika nchi mbalimbali. Nchini Tanzania mwandishi wetu anatembelea mitaa ya Kawe jijini Dar es Salaam kutaka kujua wajane hapa nchini wanakabiliwa na changamoto za namna gani. Endelea kusikiliza,,,