VOA Mitaani: Maoni ya Wakenya baada ya serikali kutangaza ongezeko la kodi

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni ya Wakenya baada ya rais William Ruto kutangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza kodi nchini humo. Ungana na Mwandishi wa VOA Salma Mohamed aliyefanya mahojiani na baadhi ya Wakenya.