Viongozi wa Italia, Ujerumani na Ufaransa waahidi kuisaida Ukraine
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na Italia wanaowakilisha mataifa yenye uchumi mkubwa wametembelea Kyiv kwa pamoja kwa treni maalum ikiwa ni hatua ya kuonyesha kuiunga kwao mkono Ukraine.