Viongozi mbalimbali wa dunia waendelea kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi mbalimbali wameendelea kuhutubia katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York jana siku ya Alhamisi.

Ibada ya maombolezo kwa ajili ya wanafunzi wavulana waliofariki katika ajali ya moto mapema mwezi Septemba nchini Kenya yafanyika.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari