Vikosi vya Marekani vyashambulia Syria

Your browser doesn’t support HTML5

Vikosi maalumu vya Marekani vimefanikiwa kufanya operesheni ya kupambana na ugaidi kaskazini magharibi mwa Syria hivi Alhamisi, Wizara ya Ulinzi – Pentagon imesema.

Shambulio hilo vyanzo vya Syria vimesema vinaaminika kuwalenga wanajihadi wenye uhusiano na kundi la Al Qaeda.