Ungana na mwandishi wetu akikutelea maelezo ya utafiti huo, faida ya mlima huo kwa jamii zinazouzunguka na hatua ambazo wataalam wanapendekeza kukabiliana na mabadiliko hayo. Endelea kusikiliza..
#utafiti #mlimakilimanjaro #theluji #Tanzania #kilimanjaro #voa #voaswahili #dunianileo
Utafiti: Hali ya hewa yaathiri theluji katika Milima Kilimanjaro
Your browser doesn’t support HTML5
Mtafiti kutoka Tanzania anaeleza kilichojitokeza katika utafiti wake aliofanya huko katika Mlima KIlimanjaro. Anasema utafiti wake unaonyesha kuna mabadiliko yanayotokea kwenye theluji iliyo juu ya Mlima huo.