Ulaya yajitahidi kuchukua uongozi kumaliza mzozo wa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Ulaya inajitahidi kuchukua uongozi ili kumaliza mzozo wa Ukraine huku Rais wa Marekani Donald Trump akisitisha misaada yote ya kijeshi.

Mustakabali wa sitisho la mapigano kati ya Israel na Hamas uko katika mashaka baada ya Israel kuzuia misaada kuingia Ukanda wa Gaza.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari