Ujumbe wa Afrika wawasili nchini Ukraine kutafuta suluhu

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa nchi za Afrika wawasili Ukraine katika juhudi za kusuluhisha mzozo kati ya nchi hiyo na Russia kupitia juhudi za kidiplomasia.

Watetezi wa haki za Watoto nchini Tanzania wanataka sheria zilizopo kuimarishwa zaidi na adhabu kati kutolewa kwa watu wanaowanyanyasa Watoto.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari