Uingereza: Sunak atarajiwa kuwa Waziri Mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Uingereza Rishi Sunak ameteuliwa kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na sasa anatarajiwa kuchukua uongozi wa nchi hiyo kama Waziri Mkuu.

Ungana na mchambuzi wa VOA akikuelezea ni kwa nini Sunak ameonekana anauwezo wa kuchukua wadhifa huo na yale ambayo atatarajiwa kuyatekeleza katika nafasi yake mpya...