Marekani Uhusiano kati ya waislamu na nchi za magharibi umebadilika 12 Septemba, 2011 Abdushakur Aboud Mashambulizi ya Septemba 11 yameongeza mvutano kati ya waislamu na nchi za magharibi lakini pia idadi ya wanaosilimu imeongezeka