Kundi la kigaidi la Islamic State limedai kuhusika na milipuko miwili ya mabomu katika mji mkuu Kampala, yaliyouwa raia wawili, ofisa mmoja wa polisi na kujeruhi watu wengine 33, huku baadhi yao wakiwa mahututi. Kundi la IS limesema lilihusika na mashambulizi hayo mjini Kampala.
Uganda yatahadharisha tishio la mashambulizi mengine
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wa usalama nchini Uganda wanasema taifa hilo la Afrika bado linakabiliwa na vitisho vya mashambulizi mengine ya mabomu