Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Uganda inatarajiwa kuanza kuuza kahawa yake Russia
Your browser doesn’t support HTML5
Kufuatia makubaliano yaliyofikiwa kati ya mataifa ya Russia na Uganda, kahawa ya Uganda inatarajiwa kuanza kuuzwa katiika soko la Russia.