Uchaguzi Mkuu Angola 2022: Nini matarajio ya wananchi?

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Angola wanaeleza kero na matarajio yao kwa wale wanaowania nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu Angola 2022. Uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika August 24, 2022 nchini kote.