Uchaguzi 2022: Idadi ya wanawake wanaogombea uongozi yaongezeka Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Ungana na mwandishi wa VOA Amina Chombo akikuletea maoni ya Wakenya juu yakuongezeka idadi ya wanawake mbalimbali wanaogombea nyadhifa za uongozi.