Tunamulika tatizo na athari za hali ya kiafya kwa mtu kupata wasiwasi.
Your browser doesn’t support HTML5
Watu wanaokabiliwa na hali ya hofu au wasiwasi mkubwa wanapojikuta katika mazingira kama vile kumuona nyoka au kutazama kina chenye urefu mkubwa. Wataalamu wa afya wanasema hali hii inaitwa Phobia.