Tunaangalia hatari za kubadilisha rangi yako ya Ngozi inavyokuza wasiwasi wa afya.
Your browser doesn’t support HTML5
Tabia ya watu kubadilisha Ngozi zao za asili au kujichubua ni kawaida duniani kote. Lakini wataalamu wa afya wanasema inaweza kuleta hatari za kiafya. Wanasema matumizi ya bidhaa za kubadilisha ngozi zina mchanganyiko hatari kama vile Hydroquinone, Zebaki, na Corticosteroids.