Trump asimama kuwasalimia wafuasi wake katika mgahawa maarufu Florida

Your browser doesn’t support HTML5

Donald Trump ambaye ni rais wa kwanza wa Marekani kufunguliwa mashtaka kwenye mahakama ya serikali kuu ameendelea kuonyesha ushujaa wake baada ya kutoka mahakamani.

Alisimama katika mgahawa maarufu wa Wamarekani wenye asili ya Cuba na kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa. Endelea kusikiliza ripoti kamili.