Trump aiomba Mahakama ya Juu ya Marekani kubatilisha uamuzi wa kihistoria wa mahakama ya Colorado

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumatano ameiomba Mahakama ya Juu ya Marekani kubatilisha uamuzi wa kihistoria wa mahakama ya juu ya Colorado yakumuondoa kwenye kura za awali ya chama cha Republikan katika jimbo hilo.

Serikali ya Malawi inawapeleka vijana kufanya kazi kwenye mashamba ya Israel wakati kuna mgogoro na Hamas.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari