TPLF yashutumiwa kuwatesa watu kwa ubaguzi wa ukabila

Your browser doesn’t support HTML5

Mkoa wa Tigray Magharibi: Maafisa wa kieneo waliipeleka VOA katika eneo lililokuwa milimani ambapo wanadai wapiganaji wa Tigray People's Liberation Front,TPLF, miaka iliyopita walikuwa wanawashikilia watu katika pango huku mtu mmoja akitoa ushahidi wa ukandamizaji huo za sababu ya ukabila.