Tanzania: Waziri Aweso azungumzi mikakati ya serikali kuhusu kutatua tatizo la maji

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia wiki hii imeadhimisha siku ya maji ambapo umoja wa mataifa ulisema asilimia 26 ya watu hawapati maji.

UN imefanya Mkutano wake wa kwanza wa kimataifa kuhusu maji baada ya miongoni kadhaa tangu ule uliofanyika miaka ya 70. Leo katika studio zetu tumetembelewa na waziri wa maji wa Tanzania Juma Aweso ambaye alihudhuria Mkutano huo.