Tanzania: Polisi yawakamata viongozi wa Chadema na watu wengine takriban 20

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Tanzania yawakamata viongozi wa chama cha upinzani Chadema na watu wengine takriban 20.

Rais wa Marekani Joe Biden kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki hii.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari