Tanzania yahimiza matumizi ya gesi asilia katika magari

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Tanzania inawahimiza madereva kubadili kuweka petrol kwenye magari yao na badala yake kutumia gesi asili. Mpango huo unalenga kupunguza hewa chafu ya Carbon ambayo inasababisha ongezeko la joto duniani.

Madereva wanatumai kuwa baada ya muda fulani wataweza kudunduliza fedha kwa kutumia gesi asili, kama anavyoripoti Charles Kombe kutoka Dar Es Salaam.