Tamko la Waziri Fred Matiang'i lazua mjadala nchini Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Agizo la Waziri wa Usalama wa Nchi Fred Matiang'i kuwataka maafisa wa serikali kumpigia kampeni mgombea wa urais anaeungwa mkono na Rais Kenyatta limeibua mjadala na maoni chanya.